Searching...
Jumatatu, 9 Septemba 2013

ANGALIA HABARI HII KWA TAHADHARI-YULE DADA ALIYEUWAWA KWA KUKATWA KOROMEO NA MUME WAKE HUYU HAPA.

Marehemu Yusta Mkali enzi za uhai wake.

Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Polisi wa kituo cha Kawe wakiukagua mwili wa marehemu Yusta.
Mtuhumiwa wa mauaji, Musa Senkando.
Mwili wa marehemu Yusta ukipelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.
Wakazi wa Kawe wakiwa na simanzi wakati mwili wa marehemu ukipelekwa hospitali.
“Huu ni unyama wa ajabu sana. Haya mapenzi ni ya kuyatazama sana. Ona sasa mwanaume amemuua mkewe. Inauma sana,” alisema mama Jack ambaye ni jirani wa familia hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!