Searching...
Jumatatu, 16 Septemba 2013

BREAKING NEWSSSSS!!!! WATU 12 WAUWAWA WASHINGTON,ILIKUA NI KAMA SINEMA YA RAMBO,ANGALIA ISHU ILIVYOKUWA.

Washington DC Navy Yard shooting: Several dead after 'gunmen in military uniforms' open fire at navy baseASKARI POLISI WA MAREKANI WAKIJIANDAA KUINGIA WASHINGTON NAVY YARD KUKABILIANA NA MUUAJI,AMBAYE ANADAIWA NI ASKARI WA KAMBI YA JESHI LA MAJINI NA TUKIO HILO LIMETOKEA KILOMETA CHACHE SANA NA NIKULU YA MAREKANI,WHITE HOUSE.

Washington shootingASKARI WA MAREKANI AKIWA SAWA SAWA KIMAPAMBANO AKIWA NDANI YA ENEO LA TUKIO KUMKABILI MUUAJI.
12 dead and two gunmen at large in navy base shootingULINZI UKIWA UMEIMARISHWA SAWA SAWA KUZUNGUKA ENEO LA JESHI AMBAPO ASKARI MMOJA AKIWA AMEVALIA KIJESHI ALIWAPIGA RISASI NA 12 KUFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA HUKO WASHINGTON DC
 Navy shootingEmergency vehicles at Washington site, 16 SeptMAGARI YA MSALABA MWEKUNDU YAKIWA YAMEFIKA TAYARI ENEO LA TUKIO KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA YA KWANZA  KWA MAJERUHI HUKU ASKARI WENYE SILAHA NAO WAKIWA WANAIMARISHA ULINZI,HUKU WAKIHAHA KUMKAMATA ASKARI ALIYETENDA UNYAMA HUO.
Law enforcement officers respond to a shooting at Washington Navy Yard on 16 September 2013WANAUME KAZINI.
 A helicopter rescues an apparent victim of a multiple shooting at the Washington Navy Yard, 16 SeptHELKOPTA IKIWA ANGANI DAKIKA CHACHE BAADA YA TUKIO HILO NA KUWAOKOA BAADHI YA MAJERUHI WA TUKIO HILO.
Law enforcement officials near Washington Navy Yard, 16 SeptASKARI WAKIWA JUU KABISA YA GHOROFA LILIPOFANYIKIA TUKIO HILO KUMDHIBITI MUUAJI ASITOROKE.
 Law enforcement officials at the Washington Navy Yard, 16 SeptILIKUA NI KAMA SINEMA.
Law enforcement officials at the Washington Navy Yard, 16 SeptKAZI NI MOJA TU,MPAKA MUUAJI ALIPATIKANA MAANA WANAUME WALIKABA NJIA ZOTE.
 A map of the US Navy Yard complexHII NDIO RAMANI YA ENEO LA TUKIO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!