ALSHABAB WAENDELEA KUWASHIKILIA MATEKA WA KENYA NDANI YA DUKA,MAJESHI YA KENYA YAINGIA CHUMBA KWA CHUMBA.
Home
»
Unlabelled
» ALSHABAB WAENDELEA KUWASHIKILIA MATEKA WA KENYA NDANI YA DUKA,MAJESHI YA KENYA YAINGIA CHUMBA KWA CHUMBA.
Majeshi ya kenya yakifanya uvamizi wa chumba baada ya chumba kuwasaka magaidi ambao inasemekana wapo ndani huku wakiwa wamewashikilia wakenya kama mateka.
Wakati msako ukiwa unaendelea ndani nje nako hakuna mahali pakutokea maana ulinzi ni wakutisha. Sema suuuu sidhani kama hawa jamaa wa alshabaab kama wapo ndani,na kama wapo ndani sidhani kama watatoka bila kuingia mikononi mwa serikali
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa jana baada ya mashambulio.
0 comments:
Chapisha Maoni