Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na baadhi ya watumishi
wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London baada ya
kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Watoto Tanzania
nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na watanzania waishio
Uingereza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na
wafanyakazi wa Ubalozi wa nchini Uingereza uliopo London tayari
kuzungumza na watanzania waishio Uingereza
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Watanzania
waishio Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti
6,2013. Kushoto ni Mkewe Tunu.
Baadhi
ya Watanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo
Londoni
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Dr.Abdallah Saleh na Mohamed na Mohame
Ali Saleh ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza
waoshiriki katika mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa
Tanzania uliopo London
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na
badhi ya Uingereza baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania
uliopo London
0 comments:
Chapisha Maoni