Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika
hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama
Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.
Jumatano, 7 Agosti 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni