Afisa
Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Ibrahim Hamidu akitoa maelezo
kuhusu utendaji wa kazi za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa wanafunzi wa Shule
ya Sekondari Maria De Matias ya Mkoani Dodoma, walipotembelea Banda la
Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya NaneNane yanayofanyika Kitaifa
Viwanja vya Nzuguni Mkoani Dodoma.
Mratibu
Mwandamizi wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edgar Senga akieleza
shughuli za Uratibu wa Maafa kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Maria De Matias ya Dodoma katika Maonesho ya NaneNane viwanja vya
Nzuguni Mkoani Dodoma walipotembelea Banda la Waziri Mkuu leo.
Mchumi
Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.
Shedrack Kiteve akieleza kazi za Idara ya Uratibu wa Shughuli za
Serikali kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Maria De Matias ya Dodoma
walipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya NaneNane
yanayofanyika Kitaifa Nzuguni Mkoani Dodoma leo
0 comments:
Chapisha Maoni