Waziri
wa Usafirishaji nchini Kenya amesema, serikali ya nchi hiyo itapiga
marufuku mabasi ya abiria kusafiri usiku ili kupunguza ajali barabarani.
Hii ni sehemu ya basi hilo lililoua watu 42 na kujeruhi 33
Huwezi kuamini kama hilo ni lilikua basi la abiria
Inatisha
0 comments:
Chapisha Maoni