Searching...
Ijumaa, 30 Agosti 2013

SERIKALI YA MAREKANI YAKABIDHI VIFAA VYA ULINZI BAHARINI NA MAZIWA TANZANIA

Katika kuimalisha ulinzi wa bahari na maziwa ya Tanzania serikali ya USA yakabidhi vifaaa vya mawasiliano kwa serikali ya Tanzania vitakavyotumiwa na JWTZ na polisi wote wa majini.
NA JOHN CHACHA-DSM

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!