Searching...
Jumatano, 7 Agosti 2013

VIBAKA WANUSURIKA KUUWAWA NANE NANE MBEYA

 Mgambo wa jiji akiwachukua vibaka hao kuwapeleka katika kituo kidogo cha Polisi Nane nane
Ni kama anasema polisi niokoeeeeeeee!!!
 Vibaka hao wakipelekwa Kituo kidogo cha Polisi baada ya kushindwa zoezi lao la Kuiba Simu .... 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!