Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa amemaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Chapisha Maoni