WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 07/08/2013.
[Mikoa ya Pwani,Tanga na Dar es salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi mvua nyepesi katika baadhi ya maeneo na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi , ngurumo katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Rukwa, Mwanza, Mbeya na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Tabora,
Iringa na Kigoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:38
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:21
|
DODOMA
|
25°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:02
|
MBEYA
|
21°C
|
12:42
|
MWANZA
|
30°C
|
12:53
|
TABORA
|
29°C
|
12:50
|
TANGA |
28°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:21
|
PEMBA
|
28°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:28
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwaPwani ya
Kaskazini na kwa kasi ya
km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini .
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi .
Matazamio kwa usiku wa Jumatano:
0708/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/08/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni