Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa CCM juu ya Rasimu ya
Katiba mpya katika mkutano uliofanyika Mwanza leo na kuwakutanisha
vijana wa makundi mbali mbali.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Ndugu Stephen Wasira akifafanua juu ya mstakabali wa vijana katika mchakato wa Katiba mpya.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Dk.Anthony Dialo akichangia mada juu ya umuhimu wa serikali mbili kwa Tanzania.
Mwenyekiti wa
Vijana wa CCM Mkoani Mwanza Sixbert Ruben akielezea umuhimu wa vijana wa
Mwanza katika kushiriki kwa kwenye mchakato wa Katiba mpya.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Martin Shigela akifafanua juu ya umuhimu wa vijana katika suala la Katiba mpya
Sehemu ya
Vijana walioshiriki katika mjadala wa mchakato wa Katiba mpya
uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha mafunzo Benki Kuu mkoani
Mwanza ambapo vijana zaidi ya mia sita walihudhuria.Vijana hao ambao
wametoka kwenye makundi ya wanafunzi,wamachinga,boda boda na mama lishe.
0 comments:
Chapisha Maoni