Searching...
Ijumaa, 30 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI AGST 31


WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.



UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 31/08/2013.

[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara na  Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa  Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Morogoro, Ruvuma Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya, Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Iringa  na Pwani]:
 [Mikoa ya  Kigoma, Shinyanga na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               22°C               
12:37
D'SALAAM
            32°C           
12:22
DODOMA
28°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
26°C
12:43
MWANZA
31°C
12:51
TABORA
33°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
            31°C           
12:22
PEMBA
             29°C           
12:25
MOROGORO
30°C
12:29

 Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini – Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  

Matazamio kwa usiku wa leoJumamosi: 31/08/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 31/08/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!