BOMU LA KUTUPWA KWA MKONO,BUNDUKI NA RISASI ZAKAMATWA MKOANI KIGOMA
Home
»
Unlabelled
» BOMU LA KUTUPWA KWA MKONO,BUNDUKI NA RISASI ZAKAMATWA MKOANI KIGOMA
Bomu la kutupwa kwa mkono lilikamatwa kigoma katika kijiji cha bweranka
baada ya polisi kufanya upekuzi kwenye nyumba ya sadock kalumanzila
ambaye pia alikutwa na risasi 20
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kigoma Zedekia Makunja akionyesha moja
ya bunduki kumi zilizokamatwa katika msako wa wahalifu kigoma.
0 comments:
Chapisha Maoni