Searching...
Ijumaa, 2 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI AGOST 03,2013 UKIWA NA TAHADHARI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 03/08/2013.
 [ Mikoa ya Pwani,Tanga na Dar es salaam]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera na Mara ]: 

Hali ya mawingu kiasi ,mvua na  ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi , ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Rukwa  na Ruvuma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2           YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE YA PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
              17°C               
12:38
D'SALAAM
            30°C           
12:21
DODOMA
25°C
12:37
KIGOMA           
30°C
01:02
MBEYA
20°C
12:42
MWANZA
28°C
12:53
TABORA
28°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
            25°C           
12:21
PEMBA
            27°C           
12:25
MOROGORO
             30°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa; kwa Pwani
yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa .
Matazamio kwa usiku wa Jumamosi: 03/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!