Searching...
Ijumaa, 2 Agosti 2013

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MADRASATUL TARBLAT ISLAMIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama isahara ya kuweka jiwe la Msingi madrasatul Tarblat Islamia iliyopo Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
 Baadhi ya Wanafunzi wa madrasatul Tarblat Islamia,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao baada ya kuwawekea jiwe la msingi madrsa yao leo huko Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,leo. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi wa madrasatul Tarblat Islamia, ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kuwawekea jiwe la msingi madrasa hiyo leo.
  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!