TONY PHOENIX- MORRISON AKIWA KWENYE MBIO NA FRIJI MGONGONI.
Tony Phoenix-Morrison ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Tony Friji amekuwa akichangisha fedha kwaajilli kuwasaidia wagonjwa wa Kansa kupitia kwenye mfuko wa Bobby Robson Foundation ambapo amekuwa akikimbia mbio ndefu huku akiwa amejitwisha friji ya kilo 42
Lakini katika hali ya kushangaza Tony Phoenix-Morrison anajibebesha friji aina ya Smeg kwa umbali wa kilomita nyingi ili kuwashawishi watu kuchangia mfuko kwaajili ya Sir Bobby Robson Foundation kuwasaidia wagonjwa wa kansa.
Akiwa na umri wa miaka 49 Tony ‘the fridge’,yupo mbioni kukamilisha ziara moja ambapo kesho jumamosi atakuwa na mbio za umbali wa kilomita 1,700 kutoka John O’Groats kuhitimisha siku 40 za mbio hizo za historia.TONY AKIPOZI KATIKA PICHA MBIONI KUKAMILISHA SIKU 40 ZA MBIO ZAKE.
‘Hili litakuwa friji langu la mwisho kubeba hapa nchini na ninahitaji kufanya jambo moja maalumu,na nina uhakika kwa hili nitafanikiwa japo natakiwa kuacha kabla sijadhurika..’alikaririwa Tony Friji
0 comments:
Chapisha Maoni