WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 08/08/2013.
[Mkoa wa Mara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Pwani,Tanga na
Dar es salaam]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera na
Mwanza]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma
na Singida]:
[Mikoa ya Tabora, Iringa na Kigoma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:38
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:21
|
DODOMA
|
25°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:02
|
MBEYA
|
22°C
|
12:42
|
MWANZA
|
28°C
|
12:53
|
TABORA
|
28°C
|
12:50
|
TANGA |
26°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
12:21
|
PEMBA
|
27°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:28
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini –Mashariki; kwa
kasi ya km 30 kwa saa kwaPwani ya
Kaskazini na kwa kasi yakm 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa usiku wa Alhamisi:
08/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 08/08/2013.
Na:
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
0 comments:
Chapisha Maoni