Rais wa chama cha riadha Tanzania na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony
Mtaka (katikati) akifafanua
jambo wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya
mashindano ya taifa ya riadha ya Chilly Willy National Athltics-Champ
ionship katika hoteli
ya Nashera yanayoanza kutimua vumbi leo kwa siku mbili katika uwanja wa
jamhuri kwa mbio fupi na ndefu mkoani Morogoro. kutoka kulia ni
mwakilishi wa wadhani wa mbio hizo kutoka PPF, Mhasibu wa mfuko wa PPF
kanda ya mashariki, Joseph Fungo na kushoto ni Meneja masoko wa TSN
Group, Yohana Manoli.
Rais
wa chama cha riadha Tanzania na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka
kulia akiwa na mwakilishi wa wadhani wa mbio za riadha kutoka TSN GROUP
Yohana Manoli kupitia kinywaji chao cha Chilly.
Mratibu wa Morogoro Press Club Thadei Hafigwa kushoto akiwa na waandishi katika tukio hilo.
Huyu ni Mdada Kasilda Mgeni akiwajibika kwa kupiga picha kwa ajili ya Star TV.
Fitina Haule wa Nipashe kushoto na Lilian Justice wa Majira kulia wakiandika dondoo wakati wa mkutano huo.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Chapisha Maoni