Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu akizungumza wakati wa uzinduzi
wa tawi la Private Banking lililopo Coco Plaza, Oysterbay jijini Dar es
Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi ya maofisa wa NBC wakiwa katika picha ya pamoja.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi akikata
utepe kuashiria uzinduzi huo. Wa pili kulia Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC, Mizinga Melu na wa pili kushoto ni Mkuu wa Madeni wa benki
hiyo, Andrew Massawe.
Baada ya uzinduzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu akimshukuru Dk. Mengi baada ya kuzindua Private Banking.
Kukagua benki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi
0 comments:
Chapisha Maoni