Searching...
Jumanne, 27 Agosti 2013

MIMI NA SIASA SASA BASI,NATAKA KUWA MWALIMU-ZITO KABWE

zitto3_554ad.jpg
Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto Kabwe hatimaye kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka 2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu wa chuo ambapo anakwenda kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio dhamira yake. 
(Chanzo:Mjengwa Blog)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!