Searching...
Ijumaa, 9 Agosti 2013

MAONYESHO YA NANE NANE DODOMA-BUNGE LAIBUKA MSHINDI-2013

Maandamano ya ushindi baada ya Bunge kuibuka kidedea katika medani ya utoaji wa huduma bora ndani ya viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma. Jopo la majaji lililitangaza Bunge kuwa mshindi wa tatu Nane Nane 2013.
Picha ya pamoja ya kusherehekea ushindi na Prosper Minja- Bunge

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!