MAN U vs CHELSEA HAKUNA MBABE,NGOMA DROO,ROONEY ACHEZA DAKIKA 90
Home
»
Unlabelled
» MAN U vs CHELSEA HAKUNA MBABE,NGOMA DROO,ROONEY ACHEZA DAKIKA 90
JOSE MOURINHO MZEE WA VIROJA AKITETA JAMBO NA KOCHA MCHEZAJI WA MANCHESTER UNITED RYAN GIGGS MUDA MFUPI KABLA MECHI KUANZA.
ROONEY NDIYE ALIYEKUA MWIBA MCHUNGU KWA CHELSEA KWANI ALIPIGA MASHUTI MAWILI YA HATARI YAKAOKOLEWA NA PETER CECH,LAKINI PIA ALITOA PASI NNE ZA MWISHO AMBAZO ZILIKUA HATARI SANA KWA CHELSEA NA KISHA AKAOKOA MCHONGO MMOJA WA RAMIRES ALIYEKUA ANAELEKEA GOLINI KUONANA NA DE GEA
ASHLEY COLE NI MOJA KATI YA WACHEZAJI WA CHELSEA WALIOFANYA KAZI KUBWA SANA KUZUIA MICHOMO YA UNITED,AMBAPO ALIFANIKIWA KUMDHIBITI ROBIN VAN PERSIE
ROONEY WA MANCHESTER UNITED HUENDA AKATUA CHELSEA KABLA YA DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA TAREHE 02.09.2013 KUTOKANA NA JINSI ALIVYOONEKANA AKICHEZA DAKIKA 90 BILA RAHAHUYU MBRAZILI KATOTO OSCAR ALIWASUMBUA SANA NGOME NA VIUNGO WA MAN U...KWA HAKIKA NI TUNU KUBWA SANA YA CHELSEA,. NIKAMA MOURINHO ANAMUAMBIA MOYES TUTAKUTANA DARAJANI MWAKANI UTANITAMBUA
0 comments:
Chapisha Maoni