Searching...
Jumatatu, 26 Agosti 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA MECHI YA MWISHO KUKUTANA CHELSEA NA MANCHESTER UNITED

 PMBMechi ya mwisho kati ya Man U na Chelsea,Chelsea walishinda goli moja kwa bila bao lililofungwa dakika ya 86 na mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania Juan Mata,huku Raphael akitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 88,mechi hii ilichezwa tarehe 05.05.2013 na ilichezeshwa na mwamuzi HOWARD WEBB mwamuzi anayeshutumiwa kuipendelea Man U mara kwa mara kutokana na kudaiwa kuwa shabiki mkubwa wa Man U.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!