Ule usemi wa ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni ndio hii...Aziza Kibibi akiwa na umri wa miaka nane alianza kubakwa na baba yake mzazi ambaye amewahi kupewa tuzo ya MTV kuhusiana na suala la muziki,akiwa na miaka kumi baba yake huyo aliyetambulika kwa jina la Aswad
Ayinde alianza kumfundisha mambo ya wakubwa hususani jinsi ya kuwa mamana hatimaye alimzalisha watoto watano
Ayinde ambaye pia anafahamika kwa jina la Charles McGill ambaye aliwahi pia kushinda tuzo ya fame ya uongozaji bora wa wimbo wa ‘Killing Me Softly’ amefungwa miaka 50 jela tangu 26,July 2013.
Kwa mara ya kwanza Kibibi sasa akiwa na miaka 35 ambaye ameolewa amezungumzia sakata hilo hadharani jinsi baba yake alivyomfanyia huo unyama.
"aliniambia mimi nishakua mkubwa sipaswi kucheza na watoto,akaanza kunifundisha jinsi ya kuwa mama na kisha kuanza kunibaka,nilipojaribu kupambana alinipiga sana hadi nikaishiwa nguvu akawa ananibaka zaidi ya mara tatu kwa siku hadi nikapata ujauzito"alizungumza Kibibi kwa uchungu.
Kibibi alipojifungua mtoto wake wa kwanza bila watu kujua aliendelea kumbaka na kumpa mimba ya pili.
KIBIBI NA WATOTO WAKE ALIOZAA NA BABA YAKE.
AYINDE AKIWA KATIKA POZI LA KUPOKEA TUZO YA WIMBO WA ‘Killing Me Softly’ WA Fugees
AYINDE AKIWA KIZIMBANI KABLA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 90

Aziza Kibibi amefunguka kwamba baba yake alianza kumbaka akiwa na miaka 8 wakati huo wakiishi na mama yake kwenye
apartment ya Paterson, New Jersey
ASWAD AYINDE-MBAKAJI
Mbakaji huyu sasa anakabiliwa na kifungo cha miaka 90 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuwabaka watoto wake wawili wa kuwazaa.
Kibibi akiwa mdogo walikua wakiishi kwenye nyumba ndogo na alikua anaruhusiwa kwenda kucheza na watoto wenzake lakini familia ilipokua wakahamia katika hiyo apartment kubwa ambapo alianza kuonekana mdada ndipo baba yake alipomkataza kucheza na wenzake na kutakiwa kukaa ndani.Mbakaji huyu sasa anakabiliwa na kifungo cha miaka 90 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuwabaka watoto wake wawili wa kuwazaa.
"aliniambia mimi nishakua mkubwa sipaswi kucheza na watoto,akaanza kunifundisha jinsi ya kuwa mama na kisha kuanza kunibaka,nilipojaribu kupambana alinipiga sana hadi nikaishiwa nguvu akawa ananibaka zaidi ya mara tatu kwa siku hadi nikapata ujauzito"alizungumza Kibibi kwa uchungu.
Kibibi alipojifungua mtoto wake wa kwanza bila watu kujua aliendelea kumbaka na kumpa mimba ya pili.
KIBIBI NA WATOTO WAKE ALIOZAA NA BABA YAKE.
AYINDE AKIWA KATIKA POZI LA KUPOKEA TUZO YA WIMBO WA ‘Killing Me Softly’ WA Fugees
AZIZA KIBIBI.
AYINDE AKIWA KIZIMBANI KABLA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 90
0 comments:
Chapisha Maoni