Searching...
Jumatano, 14 Agosti 2013

ANGALIA BALOTELI NA MESSI WALIPOKUTANA NA PAPA

papa1 3655f
Papa Francis akiwa na Kichaa Mario Balotelli wakitaniana wakati wachezaji mbalimbali wa timu ya taifa ya Italia walipoenda kumtembelea mkuu huyo wa kanisa katoliki duniani wakati wakijiandaa na mechi ya kirafiki ITALIA dhidi ya ARJENTINA.
papa 4536cGolikipa wa Italia Gianluigi Buffon na Lionel Messi wakiwa na Papa Francis Vatican jana wakati wachezaji wa timu ya taifa ya Italia na Argentina ambao wanajiandaa na mchezo wa kirafiki baina yao walipoenda kumtembelea kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani.
NA MASAMA  ENTERTAINMENT BLOG

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!