Searching...
Jumatano, 14 Agosti 2013

MTOTO ALIYEZALIWA NA MIGUU MITATU AFANYIWA OPERESHENI YAFANIKIWA KWA ASILIMIA 100


Mtoto mwenye umri wa miaka miwili baby girl ambayea alizaliwa na miguu mitatu amefanyiwa upasuaji wa kuondoa mguu mmoja ambapo taarifa zinasema upasuaji huo umefanikiwa kwa asilimia mia moja.
Mtoto huyo raia wa Nigeria alizaliwa mjini Adamawa na amefanyiwa upasuaji katika hosiptali ya Federal Medical Centre mjini Yola
Professor Awwal Abubakar ambaye aliongoza timu ya madaktari waliofanikisha upasuaji huo amesema upasuaji huo umefanyika ndani ya saa mbili na kwamba sasa binti huyo anaweza akaishi maisha ya kawaida sawa na yule aliyezaliwa na miguu miwili

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!