Kocha wa Man U David Moyes ametuma ofa hiyo wiki mbili baada ya kupata taarifa kwamba Madrid wamefanikiwa kumnasa mshambuliaji wa Tottenham Gareth Bale.
Mtendaji mkuu mpya wa Man U Ed Woodward tayari amefanya mazungumzo na rais wa Real Madrid Florentino Perez kuhusu uhamisho wa Ronaldo ambapo amebakiza miaka miwili na klabu hiyo ya Hispania.
0 comments:
Chapisha Maoni