Searching...
Alhamisi, 1 Agosti 2013

MANISPAA YA MOROGORO YAPOTEZA DIWANI WA KATA YA TUNGI, DAUDI MBAO ALIYEFARIKI DUNIA HIVI KARIBUNI.

MADIWANI WA MANISPAA YA MOROGORO, SAMUEL MSUYA NA RIBON MKALI KUSHOTO WAKIWA WAMEBEBA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU  DIWANI MWENZAO, DAUDI MB AO ALIYEFARIKI DUNIA HIVI KARIBU WAKATI WA MAZISHI YAKE YALIYOFANYIKA MKOANI MOROGORO.
 PICHA KWA HISANI YA LATIFA GANZEL.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!