Mkurugenzi
 wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa,
 katika mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya, 
ulofanyika kwenye Uumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa juzi.
Tundu Lissu akihutubia.
Mwenyekiti
 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe 
akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa 
hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya, 
ulofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa.



 
 
0 comments:
Chapisha Maoni