WACHEZAJI WA CARDIFF WAKISHANGILIA GOLI LAO LA TATU NA LA USHINDI DHIDI YA MABINGWA WA MWAKA JUZI MATAJIRI MANCHESTER CITY
MCHEZAJI WA CARDIFF FRAIZER CAMPBELL AKISHANGILIA MOJA KATI YA MAGOLI MATATU YALIYOWAPA USHINDI WA MABAO 3-2 HUKU WACHEZAJI WA MANCHESTER CITY WAKIWA WAMEDUWAA KAMA VILE WANAHISI WAPO NDOTONI
MASHABIKI WA CARDIFF WAKIISHANGILIA TIMU YAO NA KUIPA HAMASA AMBAYO MWISHO WA SIKU ULIWASAIDIA KUIBUKA NA USHINDI WA MABAO 3-2
BEKI YA MANCHESTER CITY ILIKUA NI KAMA UCHOCHORO,HUKU MLINDA MLANGO AKIWA KAMA SHATI TU LANGONI MWAO.
0 comments:
Chapisha Maoni