PICHA KUTOKA MAKTABA.
Wafanyakazi wa shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA wamefanya mgomo mkubwa mchana huu na kuzuia mamia ya wasafiri waliokua waanze safari yao majira ya saa tisa alasiri ya leo kuendelea kusota huku mtafaruku mkubwa kuzuka.

Miongoni mwa wafanyakazi waliogoma wamesema wao wameamua kugoma ili kuishinikiza serikali kuwalipa madai yao ya muda mrefu.
Kwa upande wa wasafiri wao wamesema leo ni lazima kieleweke huku wakiwashutumu wafanyakazi hao kufanya mgomo siku ya safari za treni badala ya kugoma siku ambazo sio za safari.
Taarifa zaidi na picha za tukio hilo zitakujia muda mfupi kutoka sasa,endelea kutembelea MCHOME BLOG
0 comments:
Chapisha Maoni