Searching...
Jumatano, 28 Agosti 2013

BREAKING NEWSSSS!!! MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA 15 WAJERUHIWA VIBAYA MOROGORO MUDA HUU


 
Picha kutoka maktaba
Taarifa kutoka mkoani Morogoro zinasema Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya HOOD kutoka kilombero mkoani Morogoro kwenda jijini Dar es salaam kumgonga mpita njia eneo la kiembeni mikese mkoani humo na kasha kupinduka.
MCHOME BLOG ilifika eneo la tukio muda mfupi baada ya ajali hiyo na kushuhudia abiria wa basi hilo wakihaha kwa kiwewe baada ya ajali hiyo ambapo majeruhi wamekimbizwa katika hosiptali ya mkoa wa morogoro ambapo wanapatiwa matibabu na dereva wa basi hilo ametoroka
Kwa taarifa zaidi na picha za ajali hiyo zitawekwa hapa muda sio mrefu endelea kutembelea MCHOME BLOG kwa habari za haraka na za uhakika. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!