Hivi ndivyo mji unavyoonekana leo katika baadhi ya barabara za Manispaa ya Songea
Gari likisukumwa baada ya kukaa muda mrefu katika garage bubu iliyopo mitaa ya Buhemba
Mji safi
Hapa ni mtaa wa Dilux magari yakiwa yamepangwa katika utaratibu mzuri
Mji unawaka
Chezea ujio wa Waziri Mkuu weye ?
Wafanya biashara wa matunda katika eneo hili la Dilux wameondolewa kutokana na ujio wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda mkoari Ruvuma
Dereva Yebo wakiwa katika vituo vyao kwa utaratibu mzuri
Gari
la Manspaa likiwa kazini maeneo ya bombambili huku wafanya kazi wakiwa
wanazoa na njia hii atapita akiwa anaelekea kukagua miradi na kuweka
jiwe la msingi katika baadhi ya maeneo
Hii ni sehemu moja wapo iliyobomolewa vibanda ikiwa ni kuweka mji safi
Hapa
ni maeneo ya Bombambili upakaji wa rangi alama za barabarani ukiendelea
siku ya leo kabla ya Waziri mkuu kutua Ruvuma hapo kesho
0 comments:
Chapisha Maoni