Searching...
Jumapili, 14 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAPILI JULY 14,2013



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 14/07/2013

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Rukwa na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
12:36
D'SALAAM
31°C            
12:19
DODOMA
26°C
12:35
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
19°C
12:39
MWANZA
31°C
12:51
TABORA
28°C
12:49
TANGA
29°C
12:24
ZANZIBAR
29°C           
12:19
PEMBA
28°C           
12:24
MOROGORO
28°C           
12:26

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini  kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini
                                 na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa Leo Jumapili: 14/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/07/2013.

 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!