Searching...
Jumanne, 30 Julai 2013

WAZIRI MKUU WA THAILAND MH.YINGLUCK SHINAWATRA ATUA NCHINI.

 Vikundi vya Ngoma na Tarumbeta vikiendelea kutumbuiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mchana huu wakimsubiri waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra
 Askari wakiwa katika hali ya kulegeza mwili wakisubiri kutua kwa waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mchana huu.
 Vitambulisho maalumu vya waandishi wa habari vilivyotumika kwenye kumpokea waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra
 Gwaride la heshima likisubiri waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra kutua uwanjani hapo.
 Ndege ya Thailand iliyombeba waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra ikitua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mchana huu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na balozi wa Thailand hapa nchini na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam wakijiandaa kumpokea waziri mkuu wa Thailand mh.Yingluck Shinawatra
 Gwaride maalumu la heshima lililoandaliwa kumpokea waziri mkuu wa Thailand Yingluck Shinawatra
 Waziri mkuu wa Thailand akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea waziri mkuu wa Thailand Yingluck Shinawatra mchana huu.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA KOMREDI GODFREY MONYO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!