Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wateuli
watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni
Anthony Cheche (DRC), Chabaka Kilumanga (Comoro), Luteni Jenerali
Mstaafu, Abdulrahman Shimbo, (China), Liberata Mulamula (Marekani),
Wilson Masilingi (Uholanzi), Mbarouk Nasoro Mbarouk (U.A.E) na Modest
Maro ,(Umoja wa Mataifa - Geneva. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
0 comments:
Chapisha Maoni