Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili
kwenye kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakati alipoziandua kinu
chao cha kukoboa kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai
11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili
kwenye kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakati alipoziandua kinu
chao cha kukoboa kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai
11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha
Mawenge wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11,
2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha
kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika
ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa
Deo Filikunjombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakitazama kahawa
inayokaushwa baadaya kukobolewa wakati Waziri Mkuu alipozindua kinu
cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa akiwa
katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 213. Kushoto ni Mbunge wa
Ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya
Chief Kidulile wilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo
la maabara akiwa katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 11, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya
Chef Kidulile wialyani Ludewa baada ya kuweka jiwe la msingi la maabara
akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia ni Mbunge wa
Ludewa Deo Filikunjombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wakwekezaji kutoka china na
washirika wao wa hapa nchini ambao wamewekeza katika mradi wa chuma wa
Liganga, baada ya kuwasili mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa
Njombe Julai 11, 2013.
Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akislebuka pamoja na
wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadahara uliohutubiwa na Wairi Mkuu,
MizengoPinda akiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Wasnii
ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa
Julai 11,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni