Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha
Taifa (National Defence College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu
mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao
pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee
kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na
taasisi za serikali.

akipokea zawadi ya bilauli toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National
Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala wakati washiriki wa
kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence
College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013,
ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja.
Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa
mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki
kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea zawadi ya nembo toka kwa Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National
Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala wakati washiriki wa
kwanza 20 na wakufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence
College walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013,
ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja.
Rais Kikwete aliwapongeza washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa
mafanikio mazuri ya chuo hicho cha kipekee kinachojumuisha washiriki
kutoka vikosi vya ulinzi na usalami pamoja na taasisi za serikali.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kwanza 20 na wakufunzi wa
Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College waliomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo July 12, 2013, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya
kuhitimu mafunzo yao hayo ya mwaka mmoja. Rais Kikwete aliwapongeza
washiriki hao pamoja na wakufunzi wao kwa mafanikio mazuri ya chuo hicho
cha kipekee kinachojumuisha washiriki kutoka vikosi vya ulinzi na
usalami pamoja na taasisi za serikali.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni