Searching...
Jumamosi, 13 Julai 2013

DKT. SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA MARK SIMMONDS

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,leo asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza
anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,baada ya mazungumzo yao leo.
[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}

0 comments:

Chapisha Maoni

Back to top!