Searching...
Jumamosi, 20 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAPILI JULY 21,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
21/07/2013.


[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga,]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               22°C               
12:38
D'SALAAM
           31°C           
12:21
DODOMA
27°C
12:36
KIGOMA           
31°C
01:01
MBEYA
21°C
12:41
MWANZA
28°C
12:53
TABORA
30°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
             30°C           
12:21
PEMBA
             28°C           
12:25
MOROGORO
             28°C           
12:28


Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa 
       Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi

Matazamio kwa usiku wa Jumapili: 21/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 21/07/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!