Searching...
Jumamosi, 20 Julai 2013

ANGALIA PICHA NNE ZA MAPOKEZI YA WANAJESHI WA JWTZ WALIOUWAWA DAFUR,WALIVYOPOKELEWA MUDA MFUPI ULIOPITA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU NYERERE JIJINI DSM

MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WAPIGANAJI HAO IKITOLEWA KUTOKA KWENYE NDEGE 
WANAJESHI MAALUMU WAKIWA WAMEBEBA MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WANAJESHI SABA WA JWTZ WALIOUWAWA DAFUR NCHINI SUDAN.
PICHA NA COMREDY GODFREY MONYO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!