Searching...
Jumatatu, 15 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE JULY 16,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 16/07/2013

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Rukwa na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               25°C               
12:36
D'SALAAM
            31°C            
12:19
DODOMA
29°C
12:35
KIGOMA           
28°C
01:01
MBEYA
23°C
12:39
MWANZA
28°C
12:51
TABORA
30°C
12:49
TANGA
30°C
12:24
ZANZIBAR
          30°C           
12:19
PEMBA
          28°C           
12:24
MOROGORO
         30°C           
12:26

   Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-mashariki  kwa ukanda    wote wa pwani.

   Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

   Matazamio kwa usiku wa Jumanne: 16/07/2013: Mabadiliko kidogo.

   Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/07/2013

   Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!