Searching...
Jumatatu, 8 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JULY 09,2013-JUMANNE



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 09/07/2013.

[Mikoa ya Tanga, Morogoro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja  na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Mwanza ,Kagera na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                 22°C               
12:35
D'SALAAM
            31°C           
12:18
DODOMA
26°C
12:34
KIGOMA           
30°C
12:59
MBEYA
22°C
12:37
MWANZA
31°C
12:50
TABORA
29°C
12:47
TANGA
27°C
12:22
ZANZIBAR
           30°C           
12:18
PEMBA
           26°C           
12:22
MOROGORO
          29°C           
12:25

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini  kwa kasi ya km 40 kwa saa, kwa Pwani ya Kaskazini
                     na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa  Pwani ya Kusini
                              
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne: 09/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 09/07/2013.

     Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!