Searching...
Jumatatu, 8 Julai 2013

RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA GATI MPYA LA MALINDI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi waBandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana(kushoto) Sheikh Said Salum Bakhresa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akipta maelezo kutoka kwa mfadhili wa Kampuni yaujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,wakatialipotembelea ukumbi wa VIP,na Business Class,katika sherehe zaufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibarleo.mchana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waalikwa katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandariya Malindi Zanzibar leo.mchana,(kushoto) Naibu Waziri wa Mawasilianona Miundombinu Issa Haji Ussi (Gavu) Harison Mwakiembe Waziri waMiundombinu Bara,na Sheikh Said Salum Bakhresa (kulia)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea sehemu mbali mbali katika ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Injinia Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi mfadhili wa Kampuni ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi  Zanzibar leo.mchana
 .[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!