Searching...
Alhamisi, 4 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JULY 05


WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 05/07/2013.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
12:35
D'SALAAM
30°C           
12:18
DODOMA
28°C
12:34
KIGOMA           
30°C
12:59
MBEYA
24°C
12:37
MWANZA
29°C
12:50
TABORA
30°C
12:47
TANGA
29°C
12:22
ZANZIBAR
29°C           
12:18
PEMBA
28°C           
12:22
MOROGORO
28°C           
12:25

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini  kwa
           Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa  Pwani ya Kusini.

 Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa: 05/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 05/07/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!