Basi
la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya
Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani
Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote
waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika Kifo.
|
Alhamisi, 4 Julai 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni