Searching...
Jumapili, 28 Julai 2013

TUPO TAYARI KUMUUZA ROONEY LAKINI SI KWA CHELSEA WALA ARSENAL-MAN U.

Wayne Rooney 
WAYNE ROONEY-MAN U.
Klabu ya Manchester United hatimaye wanaonekana kunyoosha mikono baada ya kusema kwamba wapo tayari kumuuza mchezaji wao Wayne Rooney akini sio kwa Chelsea wala Arsenal ambazo ni timu zinazoonekana kuwania ubingwa wa Englan.  Mourinho 'will quit Chelsea for Inter in three years'
JOSE MOURINHO-KOCHA CHELSEA
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho na mwenzake wa Arsenal wote kwa pamoja wameshatuma ofa tofauti tofauti ya kumtaka Rooney lakini kocha wa man u David Moyes alisisitiza kwamba  mchezaji wake Rooney hauzwi kwa gharama yoyote.
Manchester United hawataki kumuuza  Rooney kwenye timu ambayo itakua mpinzane wake katika ligi kuu ya England maarufu kama Premier League.
FBL-ASIA-ENG-PR-AUS-MANUTDDAVID MOYES-KOCHA MAN U.
Hata hivyo kocha wa Man u David Moyes amesikika akisema anataka kumbakiza Rooney kwa kumuhakikishia kwamba hatanunua mchezaji mwingine katika nafasi yake.
Wakati huo huo makamu mwenyekiti wa Man u Ed Woodward amesema klabu haina mpango wowote wa kumpa ofa ya paundi 250,000-kwa wiki katika mkataba wake mpya.
Na kwa kutambua kuwa bado ana mkataba wa miaka miwili ni dhahiri thamani yake itashuka hivyo ni vyema wakamuuza mapema ila sio kwa chelsea wala ArsenalJudge orders $1 million be returned to former exotic dancer. (Thinkstock)
Chelsea wapo tayari kutuma ofa nyingine ya paundi milioni 30 ambayo itawapa faida Man u ya paundi milioni 5 kwa gharama waliyomnunulia Rooney miaka tisa akitokea klabu ya Everton.
Klabu ya Real Madrid wamehusishwa na kumtaka msukuma ndinga huyo wa kimataifa wa England lakini akili,macho,masikio na mikakati yao ni kumnasa Gareth Bale.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!