Mbwa aina ya
Doberman wanauzwa @ Tsh 1,000,000 ( milioni moja kwa mmoja ). Ni wazuri
sana kwa ulinzi, wamepata mafunzo toka kikosi cha Polisi cha mbwa na
farasi kurasini Dsm. Wamezaliwa 30/ 07/ 2011. Wana kadi zote kuonyesha
matibabu yao. Kwa mawasiliano piga 0787 377722.
Jumapili, 28 Julai 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni