Searching...
Jumapili, 28 Julai 2013

FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA, KUZIPIGA NA MZAMBIA NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA IDDI MOSI‏

Bondia Francis Miyeyusho (kulia) akitia saini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga sikukuu ya Iddi Mosi na Darius Lipupa wa Zambia. Mpambano huo utapigwa katika ukumbi wa Dar Live. Kushoto ni rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ostadhi'.

Francis Miyeyusho (kushoto) akitia saini ya dole gumba mkataba wa makubaliano ya kuzipiga na Mzambia, Darius Lipupa katika ukumbi wa Dar Live sikukuu ya Iddi Mosi. Kushoto ni Rais wa TPBO, Yassin Abdallah…
Bondia Francis Miyeyusho (kulia) akitia saini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga sikukuu ya Iddi Mosi na Darius Lipupa wa Zambia. Mpambano huo utapigwa katika ukumbi wa Dar Live. Kushoto ni rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ostadhi'.
Francis Miyeyusho (kushoto) akitia saini ya dole gumba mkataba wa makubaliano ya kuzipiga na Mzambia, Darius Lipupa katika ukumbi wa Dar Live sikukuu ya Iddi Mosi. Kushoto ni Rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ostadhi'.
Rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ostadhi' (kushoto) akimkabidhi kiasi cha pesa bondia Fransic Miyeyusho kama sehemu ya maandalizi ya mpambano hio.

0 comments:

Chapisha Maoni

Back to top!